Deuteronomy 19:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ikiwa mtakuwa waangalifu kushika amri hizi zote ninazowaamuru hivi leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake — basi, mtaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu mmefuata kwa uangalifu sheria zote ninazowaamuru leo, kumpenda Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kuenenda siku zote katika njia zake, ndipo mtenge miji mingine mitatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe ukiyashika maagizo haya yote nikuagizayo leo, na kuyafanya, kumpenda Bwana, Mungu wako, na kwenda sikuzote katika njia zake, ndipo ujiongezee miji mitatu tena, pamoja na mitatu ile;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ikiwa mtakuwa waangalifu kushika amri hizi zote ninazowaamuru hivi leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake — basi, mtaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu mmefuata kwa uangalifu sheria zote ninazowaamuru leo, kumpenda BWANA Mungu wenu na kuenenda siku zote katika njia zake, ndipo mtenge miji mingine, mitatu zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu mmefuata kwa uangalifu sheria zote ninazowaamuru leo, kumpenda bwana Mwenyezi Mungu wenu na kuenenda siku zote katika njia zake, ndipo mtenge miji mingine, mitatu zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe ukiyashika maagizo haya yote nikuagizayo leo, na kuyafanya, kumpenda BWANA, Mungu wako, na kwenda siku zote katika njia zake, ndipo ujiongezee miji mitatu tena, pamoja na mitatu ile;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ikiwa mtakuwa waangalifu kushika amri hizi zote ninazowaamuru hivi leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake – basi, mtaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi vitakuwa, ukiyaangalia na kuyafanya haya maagizo yote, mimi ninayokuagiza leo, umpende Bwana Mungu wako, uzishike njia zake siku zote; basi, hapo, hivyo vitakapotimia, sharti hiyo miji mitatu uiongeze kwa kujitengea mji mitatu mingine,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe ukiyashika maagizo haya yote nikuagizayo leo, na kuyafanya, kumpenda BWANA, Mungu wako, na kwenda sikuzote katika njia zake, ndipo ujiongezee miji mitatu tena, pamoja na mitatu ile;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ikiwa mutakuwa waangalifu kushika amri hizi zote, ninazowaamuru hivi leo, mukimupenda Yawe, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake, basi, mutaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu,