Deuteronomy 2:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Hapo zamani hiyo nchi ya Ari ilikuwa imekaliwa na watu wengi, wenye nguvu na ambao walikuwa warefu kama Waanaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Waemi walikuwa wakiishi huko hapo zamani, watu wenye nguvu na wengi, warefu kama Waanaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(Walioketi humo hapo kale ni Waemi, nao ni watu wakubwa, wengi, warefu, mfano wa Waanaki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Hapo zamani hiyo nchi ya Ari ilikuwa imekaliwa na watu wengi, wenye nguvu na ambao walikuwa warefu kama Waanaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Waemi walikuwa wakiishi huko hapo zamani, watu wenye nguvu na wengi, warefu kama Waanaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Waemi walikuwa wakiishi huko hapo zamani, watu wenye nguvu na wengi, warefu kama Waanaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(Walioishi humo hapo kale ni Waemi, nao ni watu wakubwa, wengi, warefu, mfano wa Waanaki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Hapo zamani hiyo nchi ya Ari ilikuwa imekaliwa na watu wengi, wenye nguvu na ambao walikuwa warefu kama Waanaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kale Waemi walikaa huko, nao walikuwa watu wakubwa na warefu wengi mno kama Waanaki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(Walioketi humo hapo kale ni Waemi, nao ni watu wakubwa, wengi, warefu, mfano wa Waanaki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Hapo zamani hiyo inchi ya Ari ilikuwa imekaliwa na watu wengi, wenye nguvu na ambao walikuwa warefu kama vile Waanaki.