Deuteronomy 2:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile Waanaki, watu hawa walijulikana pia kama Warefai, lakini Wamoabu waliwaita Waemi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama walivyokuwa Waanaki, hao pia walikuwa kama Warefai, lakini Wamoabu waliwaita Waemi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hawa nao wadhaniwa kuwa majitu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile Waanaki, watu hawa walijulikana pia kama Warefai, lakini Wamoabu waliwaita Waemi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama walivyokuwa Waanaki, hao pia walikuwa kama Warefai, lakini Wamoabu waliwaita Waemi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama walivyokuwa Waanaki, hao pia walikuwa kama Warefai, lakini Wamoabu waliwaita Waemi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hawa nao wadhaniwa kuwa Warefai kama Waanaki; lakini Wamoabi huwaita Waemi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile Waanaki, watu hawa walijulikana pia kama Warefai, lakini Wamoabu waliwaita Waemi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliwaziwa kuwa Majitu kama Waanaki, lakini Wamoabu waliwaita Waemi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hawa nao wadhaniwa kuwa majitu kama Waanaki; lakini Wamoabi huwaita Waemi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile Waanaki, watu hawa walijulikana vilevile kama Warefai, lakini Wamoabu waliwaita Waemi.