Deuteronomy 2:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwakabili ili kuwaangamiza huko kambini, hata wote wakaisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wa Mwenyezi Mungu uliwakabili hadi alipowaangamiza wote huko kambini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mkono wa Bwana ulikuwa juu yao ili kuwaangamiza, kuwatoa kati ya marago, hata walipokoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwakabili ili kuwaangamiza huko kambini, hata wote wakaisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkono wa BWANA uliwakabili hadi alipowaangamiza wote huko kambini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkono wa bwana uliwakabili hadi alipowaangamiza wote huko kambini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mkono wa BWANA ulikuwa juu yao ili kuwaangamiza kabisa kutoka katika kambi zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu mwenyewe aliwakabili ili kuwaangamiza huko kambini, hata wote wakaisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mkono wa Bwana ulikuwa ukiwapingia, upate kuwaangamiza makambini, mpaka waishilizwe kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mkono wa BWANA ulikuwa juu yao ili kuwaangamiza, kuwatoa kati ya marago, hata walipokoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe mwenyewe akawashambulia watu hao kwa kuwaangamiza huko katika kambi, hata wote wakaisha.