Deuteronomy 2:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, watu hao wote wenye umri wa kwenda vitani walipokwisha aga dunia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikawa baada ya mtu wa mwisho wa wale walioweza kwenda vitani kufa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa, walipokwisha angamizwa kwa kufa watu wote wa vita kati ya watu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, watu hao wote wenye umri wa kwenda vitani walipokwisha aga dunia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa, walipoangamizwa kwa kufa watu wote wa vita waliokuwemo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, watu hao wote wenye umri wa kwenda vitani walipokwisha aga dunia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, wale wapiga vita walipokwisha kuishilizwa wote na kuondolewa kwa wenzao wa ukoo kwa hivyo, walivyokufa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa, walipokwisha angamizwa kwa kufa watu wote wa vita kati ya watu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi, watu hao wote walipokwisha kufa,