Deuteronomy 2:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtaifikia nchi ya Waamoni. Msiwasumbue wala msipigane nao kwa kuwa sitawapeni sehemu yoyote ya hao wazawa wa Amoni; iwe mali yenu. La! Hao ni wazawa wa Loti, na nimewapa hiyo nchi iwe mali yao.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakapokuja kwa Waamoni, msiwasumbue wala kuwachokoza kwa vita, kwa kuwa sitawapa ardhi yoyote iliyo ya Waamoni kuwa milki yenu. Nimeitoa kama milki ya wazao wa Lutu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na utakaposongea kuwaelekea wana wa Amoni, usiwasumbue wana wa Amoni, wala usishindane nao; kwa kuwa sitakupa katika nchi ya hao wana wa Amoni kuwa milki yako; kwa sababu nimewapa wana wa Lutu iwe milki yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtaifikia nchi ya Waamoni. Msiwasumbue wala msipigane nao kwa kuwa sitawapeni sehemu yoyote ya hao wazawa wa Amoni; iwe mali yenu. La! Hao ni wazawa wa Loti, na nimewapa hiyo nchi iwe mali yao.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakapokuja kwa Waamori, msiwasumbue wala kuwachokoza kwa vita, kwa kuwa sitawapa ardhi yo yote iliyo ya Waamori kuwa milki yenu. Nimeitoa kama milki ya wazao wa Loti.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakapokuja kwa Waamoni, msiwasumbue wala kuwachokoza kwa vita, kwa kuwa sitawapa ardhi yoyote iliyo ya Waamoni kuwa milki yenu. Nimeitoa kama milki ya wazao wa Lutu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na utakaposogea kuwaelekea wana wa Amoni, usiwasumbue wana wa Amoni, wala usishindane nao; kwa kuwa sitakupa katika nchi ya hao wana wa Amoni kuwa milki yako; kwa sababu nimewapa wana wa Lutu iwe milki yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtaifikia nchi ya Waamoni. Msiwasumbue wala msipigane nao kwa kuwa sitawapeni sehemu yoyote ya hao wazawa wa Amoni; iwe mali yenu. La! Hao ni wazawa wa Loti, na nimewapa hiyo nchi iwe mali yao.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utafika karibu kwao wana wa Amoni; usiwasonge, wala usiwapelekee vita! Kwani sitakupa kipande cha nchi ya wana wa Amoni, ukichukue, kiwe chako, kwani nchi hiyo naliwapa wana wa Loti, waichukue, iwe yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na utakaposongea kuwaelekea wana wa Amoni, usiwasumbue wana wa Amoni, wala usishindane nao; kwa kuwa sitakupa katika nchi ya hao wana wa Amoni kuwa milki yako; kwa sababu nimewapa wana wa Lutu iwe milki yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutaifikia inchi ya Waamoni. Musiwasumbue wala musipigane nao kwa sababu sitawapa sehemu yoyote ya hao wazao wa Amoni ikuwe mali yenu. Hao ni wazao wa Loti, na nimewapa hiyo inchi ikuwe mali yao.’ ”