Deuteronomy 2:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Nchi hiyo inajulikana pia kama nchi ya Warefai. Warefai walikuwa wanaishi huko hapo zamani; Waamoni waliwaita hao Wazamzumi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Hiyo pia ilidhaniwa kuwa nchi ya Warefai walioishi huko, lakini Waamoni waliwaita Wazamzumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(Nchi hiyo nayo yadhaniwa kuwa ni nchi ya Warefai, hapo kale Warefai walikaa humo; lakini Waamoni huwaita Wazamzumi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Nchi hiyo inajulikana pia kama nchi ya Warefai. Warefai walikuwa wanaishi huko hapo zamani; Waamoni waliwaita hao Wazamzumi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Hiyo pia ilidhaniwa kuwa nchi ya Warefai waliokuwa wakiishi huko, lakini Waamoni waliwaita Wazamzumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Hiyo pia ilidhaniwa kuwa nchi ya Warefai waliokuwa wakiishi huko, lakini Waamoni waliwaita Wazamzumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(Nchi hiyo nayo yadhaniwa kuwa ni nchi ya Warefai, hapo kale Warefai walikaa humo; lakini Waamoni huwaita Wazamzumi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Nchi hiyo inajulikana pia kama nchi ya Warefai. Warefai walikuwa wanaishi huko hapo zamani; Waamoni waliwaita hao Wazamzumi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi hii nayo iliwaziwa kuwa ya Majitu; kale Majitu walikaa huko kweli, nao Waamoni waliwaita Wazamuzumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(Nchi hiyo nayo yadhaniwa kuwa ni nchi ya Warefai, hapo kale Warefai walikaa humo; lakini Waamoni huwaita Wazamzumi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Inchi hiyo inajulikana vilevile kama inchi ya Warefai. Warefai walikuwa wanaishi huko hapo zamani; Waamoni waliwaita hao Wazamuzumi.