Deuteronomy 2:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuwa watu wengi, wenye nguvu na warefu kama Waanaki. Lakini Mwenyezi-Mungu aliwaangamiza walipofika Waamori ambao walichukua nchi yao wakaishi humo badala yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walikuwa watu wenye nguvu na wengi, warefu kama Waanaki. Mwenyezi Mungu akawaangamiza kutoka mbele ya Waamoni, ambao waliwafukuza na kukaa mahali pao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao ni watu wengi, wakubwa, warefu, kama Waanaki; lakini Bwana aliwaangamiza mbele yao; wakawafuata wakakaa badala yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuwa watu wengi, wenye nguvu na warefu kama Waanaki. Lakini Mwenyezi-Mungu aliwaangamiza walipofika Waamori ambao walichukua nchi yao wakaishi humo badala yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walikuwa watu wenye nguvu na wengi, warefu kama Waanaki. BWANA akawaangamiza kutoka mbele ya Waamoni, ambao waliwafukuza na kukaa mahali pao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikuwa watu wenye nguvu na wengi, warefu kama Waanaki. bwana akawaangamiza kutoka mbele ya Waamoni, ambao waliwafukuza na kukaa mahali pao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao ni watu wengi, wakubwa, warefu, kama Waanaki; lakini BWANA aliwaangamiza mbele yao; wakawafuata wakakaa badala yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuwa watu wengi, wenye nguvu na warefu kama Waanaki. Lakini Mwenyezi-Mungu aliwaangamiza walipofika Waamori ambao walichukua nchi yao wakaishi humo badala yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walikuwa watu wakubwa na warefu wengi mno kama Waanaki, lakini Bwana aliwaangamiza mbele yao; ndipo, walipoichukua nchi yao, iwe yao, wakakaa mahali pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao ni watu wengi, wakubwa, warefu, kama Waanaki; lakini BWANA aliwaangamiza mbele yao; wakawafuata wakakaa badala yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walikuwa watu wengi, wenye nguvu na warefu kama vile Waanaki. Lakini Yawe akawaangamiza mbele ya Waamori ambao walitwaa inchi yao wakaishi humo pahali pao.