Deuteronomy 2:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Leo nitaanza kuwafanya watu wote duniani wawe na woga na hofu juu yenu; watasikia habari zenu nao watatetemeka na kufadhaika.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hii ya leo nitaanza kuwatia hofu na woga mataifa yote chini ya mbingu wawaogope ninyi. Watakaposikia taarifa zenu, watatetemeka na kufadhaika kwa sababu yenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi leo nitaanza mimi kutia utisho wako na kuhofiwa kwako juu ya watu walio chini ya mbingu kila mahali, watakaosikia uvumi wako, na kutetemeka, na kuingiwa na uchungu kwa sababu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Leo nitaanza kuwafanya watu wote duniani wawe na woga na hofu juu yenu; watasikia habari zenu nao watatetemeka na kufadhaika.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hii ya leo nitaanza kuwatia hofu na woga mataifa yote chini ya mbingu wawaogope ninyi. Watakaposikia taarifa zenu, watatetemeka na kufadhaika kwa sababu yenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hii ya leo nitaanza kuwatia hofu na woga mataifa yote chini ya mbingu wawaogope ninyi. Watakaposikia taarifa zenu, watatetemeka na kufadhaika kwa sababu yenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi leo nitaanza mimi kutia utisho wako na kuhofiwa kwako juu ya watu walio chini ya mbingu kila mahali, watakaosikia uvumi wako, na kutetemeka, na kuingiwa na uchungu kwa sababu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Leo nitaanza kuwafanya watu wote duniani wawe na woga na hofu juu yenu; watasikia habari zenu nao watatetemeka na kufadhaika.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Leo hivi nitaanza kuyatisha makabila yote chini ya mbingu, wakustukie kwa kukuogopa; watakapousikia uvumi wako watakutetemekea na kujipinda kwa machungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi leo nitaanza mimi kutia utisho wako na kuhofiwa kwako juu ya watu walio chini ya mbingu kila mahali, watakaosikia uvumi wako, na kutetemeka, na kuingiwa na uchungu kwa sababu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Leo nitaanza kuwafanya watu wote katika dunia wakuwe na woga na hofu juu yenu. Watasikia habari zenu nao watatetemeka na kufazaika.’