Deuteronomy 2:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, nikatuma watu kutoka jangwa la Kedemothi waende kwa mfalme Sihoni wa Heshboni na ujumbe ufuatao wa amani:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka jangwa la Kedemothi nilituma wajumbe wenye maneno ya amani kwa Sihoni mfalme wa Heshboni kusema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikatuma wajumbe kutoka bara ya Kedemothi kwenda kwa Sihoni mfalme wa Heshboni na maneno ya amani, kusema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, nikatuma watu kutoka jangwa la Kedemothi waende kwa mfalme Sihoni wa Heshboni na ujumbe ufuatao wa amani:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka jangwa la Kedemothi nilituma wajumbe wenye maneno ya amani kwa Sihoni mfalme wa Heshboni kusema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka jangwa la Kedemothi nilituma wajumbe wenye maneno ya amani kwa Sihoni mfalme wa Heshboni kusema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikatuma wajumbe kutoka bara ya Kedemothi kwenda kwa Sihoni mfalme wa Heshboni na maneno ya amani, kusema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, nikatuma watu kutoka jangwa la Kedemothi waende kwa mfalme Sihoni wa Heshboni na ujumbe ufuatao wa amani:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipotuma wajumbe toka nyikani kwa Kedemoti kwake Sihoni, mfalme wa Hesiboni, kumwambia maneno haya ya mapatano kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikatuma wajumbe kutoka bara ya Kedemothi kwenda kwa Sihoni mfalme wa Heshboni na maneno ya amani, kusema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi, nikatuma watu kutoka jangwa la Kedemoti waende kwa mufalme Sihoni wa Hesiboni na ujumbe huu wa amani: