Deuteronomy 2:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapitia barabarani na kwenda moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapita katika barabara kuu, hatutageuka kuume wala kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nipishe katikati ya nchi yako; nitakwenda kwa njia ya barabara, sitageuka kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapitia barabarani na kwenda moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapita katika barabara kuu, hatutageuka kuume wala kushoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapita katika barabara kuu, hatutageuka kuume wala kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nipishe katikati ya nchi yako; nitakwenda kwa njia ya barabara, sitageuka kwenda mkono wa kulia wala wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapitia barabarani na kwenda moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninataka kupita katika nchi yako na kwenda njiani tu, nisiondoke njiani kwenda wala kuumeni wala kushotoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nipishe katikati ya nchi yako; nitakwenda kwa njia ya barabara, sitageuka kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Uturuhusu tupite katika inchi yako. Tutapitia katika barabara na kwenda moja kwa moja bila kugeuka kuume wala kushoto.