Deuteronomy 2:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
tuvuke mto Yordani na kuingia katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu anatupatia. Wazawa wa Esau wanaoishi Seiri na Wamoabu waishio Ari walituruhusu pia kupita katika nchi yao’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama wazao wa Esau ambao wanaishi Seiri na Wamoabu ambao wanaishi Ari walivyotufanyia, hadi tuvuke Yordani kuingia nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, anatupatia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama walivyonifanyia hao wana wa Esau waketio Seiri, na hao Wamoabi waketio Ari; hata nivuke Yordani niingie nchi tupewayo na Bwana, Mungu wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
tuvuke mto Yordani na kuingia katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu anatupatia. Wazawa wa Esau wanaoishi Seiri na Wamoabu waishio Ari walituruhusu pia kupita katika nchi yao’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama wazao wa Esau ambao wanaishi Seiri na Wamoabu ambao wanaishi Ari walivyotufanyia, mpaka tuvuke Yordani kuingia nchi ambayo BWANA Mungu wetu anatupatia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama wazao wa Esau ambao wanaishi Seiri na Wamoabu ambao wanaishi Ari walivyotufanyia, mpaka tuvuke Yordani kuingia nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wetu anatupatia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama walivyonifanyia hao wana wa Esau waishio Seiri, na hao Wamoabi waishio Ari; hata nivuke Yordani niingie nchi tupewayo na BWANA, Mungu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
tuvuke mto Yordani na kuingia katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu anatupatia. Wazawa wa Esau wanaoishi Seiri na Wamoabu waishio Ari walituruhusu pia kupita katika nchi yao’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, walivyonifanyizia nao wana wa Esau wanaokaa Seiri, nao Wamoabu wanaokaa Ari; fanya hivyo nawe, mpaka nitakapouvuka Yordani, niingie nchi, Bwana Mungu wetu aliyotupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama walivyonifanyia hao wana wa Esau waketio Seiri, na hao Wamoabi waketio Ari; hata nivuke Yordani niingie nchi tupewayo na BWANA, Mungu wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
tuvuke muto Yordani na kuingia katika inchi ambayo Yawe, Mungu wetu anatupatia. Wazao wa Esau wanaoishi Seiri na Wamoabu wanaoishi Ari walituruhusu vilevile kupita katika inchi yao’.