Deuteronomy 2:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Mmetangatanga vya kutosha katika nchi hii ya milima; sasa geukeni mwelekee kaskazini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Umetembea kuzunguka hii nchi ya vilima kwa muda wa kutosha; sasa geukia kaskazini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mlivyouzunguka mlima huu vyatosha; geukeni upande wa kaskazini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Mmetangatanga vya kutosha katika nchi hii ya milima; sasa geukeni mwelekee kaskazini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Umetembea kuzunguka hii nchi ya vilima kwa muda wa kutosha; sasa geukia kaskazini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Umetembea kuzunguka hii nchi ya vilima kwa muda wa kutosha; sasa geukia kaskazini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmeuzunguka mlima huu vya kutosha; geukeni upande wa kaskazini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Mmetangatanga vya kutosha katika nchi hii ya milima; sasa geukeni mwelekee kaskazini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku, mlizouzunguka mlima huu, ni nyingi, sasa geukeni kwenda upande wa kaskazini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mlivyouzunguka mlima huu vyatosha; geukeni upande wa kaskazini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Mumetangatanga ya kutosha katika inchi hii ya milima. Sasa mugeuke muelekee upande wa kaskazini.