Deuteronomy 2:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Sihoni alitoka na watu wake wote kupigana nasi karibu na mji wa Yahasa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sihoni pamoja na jeshi lake lote walipokuja kukutana nasi katika vita huko Yahazi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sihoni alipotutokea juu yetu yeye na watu wake wote, kupigana huko Yahasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Sihoni alitoka na watu wake wote kupigana nasi karibu na mji wa Yahasa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Sihoni pamoja na jeshi lake lote walipokuja kukutana nasi katika vita huko Yahazi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Sihoni pamoja na jeshi lake lote walipokuja kukutana nasi katika vita huko Yahazi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sihoni alipojitokeza juu yetu, yeye na watu wake wote ili kupigana nasi huko Yahasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Sihoni alitoka na watu wake wote kupigana nasi karibu na mji wa Yahasa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sihoni alipotoka asubuhi, yeye pamoja na watu wake wote, wapigane nasi kule Yasa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sihoni alipotutokea juu yetu yeye na watu wake wote, kupigana huko Yahasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Sihoni akatoka na watu wake wote kupigana nasi karibu na muji wa Yahasa.