Deuteronomy 2:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tukaiteka na kuiharibu miji yake yote, tukaua wanaume na wanawake na watoto; hatukumwacha mtu yeyote hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa wakati ule tuliteka miji yake yote na kuiangamiza kabisa: wanaume, wanawake na watoto. Hatukumwacha yeyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukatwaa miji yake yote wakati huo, tukaharibu kabisa kila mji uliokuwa na watu, pamoja na wanawake na wadogo; tusimsaze hata mmoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tukaiteka na kuiharibu miji yake yote, tukaua wanaume na wanawake na watoto; hatukumwacha mtu yeyote hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa wakati ule tuliteka miji yake yote na kuiangamiza kabisa: wanaume, wanawake na watoto. Hatukubakiza mtu hata mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa wakati ule tuliteka miji yake yote na kuiangamiza kabisa: wanaume, wanawake na watoto. Hatukumwacha yeyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukatwaa miji yake yote wakati huo, tukaharibu kabisa kila mji uliokuwa na wanaume, wanawake na watoto; tusimbakize hata mmoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tukaiteka na kuiharibu miji yake yote, tukaua wanaume na wanawake na watoto; hatukumwacha mtu yeyote hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tukaiteka miji yake yote siku hizo, tukawatia mwiko wa kuwapo wote pia waliokuwamo mijini, wanawaume na wanawake na watoto, hatukusaza hata mmoja aliyeweza kukimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukatwaa miji yake yote wakati huo, tukaharibu kabisa kila mji uliokuwa na watu, pamoja na wanawake na wadogo; tusimsaze hata mmoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tukaiteka na kuiharibu miji yake yote, tukaua wanaume na wanawake na watoto. Hatukumwacha mutu yeyote muzima.