Deuteronomy 2:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyara zetu zilikuwa tu mifugo na mali yote tuliyokuta mijini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mifugo na nyara tulizoziteka kutoka ile miji tulijichukulia wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila ng'ombe zao tuliwatwaa kuwa mawindo yetu, pamoja na nyara za miji tuliyoitwaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyara zetu zilikuwa tu mifugo na mali yote tuliyokuta mijini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mifugo na nyara tulizoziteka kutoka ile miji tulijichukulia wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mifugo na nyara tulizoziteka kutoka ile miji tulijichukulia wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila ng'ombe zao tuliwatwaa kuwa mawindo yetu, pamoja na nyara za miji tuliyoitwaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyara zetu zilikuwa tu mifugo na mali yote tuliyokuta mijini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni nyama tu wa kufuga na nyara za miji, tuliyoiteka, ndizo tulizojichukulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila ng’ombe zao tuliwatwaa kuwa mawindo yetu, pamoja na nyara za miji tuliyoitwaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tulibeba tu mifugo na mali tuliyokuta katika miji tuli Yosinda.