Deuteronomy 2:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hatukukaribia nchi ya Waamoni au ukingoni mwa mto Yaboki wala katika miji ya nchi ya milima wala sehemu yoyote ile ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alitukataza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kulingana na amri ya Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, hamkujiingiza katika nchi yoyote ya Waamoni, wala katika sehemu yoyote iliyo kandokando ya Mto Yaboki, wala katika miji iliyo vilimani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
upande wote wa mto wa Yaboki, na miji ya nchi ile ya milimani, na kila mahali alipotukataza Bwana, Mungu wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hatukukaribia nchi ya Waamoni au ukingoni mwa mto Yaboki wala katika miji ya nchi ya milima wala sehemu yoyote ile ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alitukataza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kulingana na amri ya BWANA Mungu wetu, hamkujiingiza katika nchi yo yote ya Waamori, wala katika sehemu yo yote iliyo kandokando ya Mto Yaboki, wala katika miji iliyoko katika vilima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kulingana na amri ya bwana Mwenyezi Mungu wetu, hamkujiingiza katika nchi yoyote ya Waamoni, wala katika sehemu yoyote iliyo kandokando ya Mto Yaboki, wala katika miji iliyoko katika vilima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
upande wote wa mto wa Yaboki, na miji ya nchi ile ya milimani, na kila mahali alipotukataza BWANA, Mungu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hatukukaribia nchi ya Waamoni au ukingoni mwa mto Yaboki wala katika miji ya nchi ya milima wala sehemu yoyote ile ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alitukataza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ya wana wa Amoni tu hukuikaribia, ile nchi yote iliyoko kando ya kijito cha Yakobo pamoja na miji ya milimani; kwani hiyo yote Bwana Mungu wetu alitukataza kuichukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
upande wote wa mto wa Yaboki, na miji ya nchi ile ya milimani, na kila mahali alipotukataza BWANA, Mungu wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hatukukaribia inchi ya Waamoni au ukingo wa muto Yaboki wala katika miji ya inchi ya milima wala sehemu yoyote ambayo Yawe, Mungu wetu, alitukataza.