Deuteronomy 2:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mko karibu kupita katika nchi ya milima ya Seiri, nchi ya ndugu zenu wazawa wa Esau. Hao watawaogopeni, lakini muwe na tahadhari,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wape watu maagizo haya: ‘Mko karibu kupita katikati ya nchi ya ndugu zako ambao ni wazao wa Esau, ambao wanaishi Seiri. Watawaogopa, lakini mwe waangalifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe waagize watu, uwaambie, Mtapita kati ya mpaka wa ndugu zenu wana wa watu, uwaambie, Mtapita kati ya mpaka wa ndugu zenu wana wa Esau waketio Seiri; nao watawaogopa; basi jiangalieni nafsi zenu sana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mko karibu kupita katika nchi ya milima ya Seiri, nchi ya ndugu zenu wazawa wa Esau. Hao watawaogopeni, lakini muwe na tahadhari,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wape watu maagizo haya: ‘Mko karibu kupita katikati ya nchi ya ndugu zako ambao ni wazao wa Esau, ambao wanaishi Seiri. Watawaogopa, lakini mwe waangalifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wape watu maagizo haya: ‘Mko karibu kupita katikati ya nchi ya ndugu zako ambao ni wazao wa Esau, ambao wanaishi Seiri. Watawaogopa, lakini mwe waangalifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe waagize watu, uwaambie, Mtapita katika mpaka wa ndugu zenu, wana wa Esau waishio Seiri; nao watawaogopa; basi jihadharini sana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mko karibu kupita katika nchi ya milima ya Seiri, nchi ya ndugu zenu wazawa wa Esau. Hao watawaogopeni, lakini muwe na tahadhari,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waagize watu kwamba: Piteni katika mipaka yao ndugu zenu wana wa Esau wanaokaa Seiri! Wao watawaogopa ninyi, lakini jiangalieni sana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe waagize watu, uwaambie, Mtapita kati ya mpaka wa ndugu zenu wana wa watu, uwaambie, Mtapita kati ya mpaka wa ndugu zenu wana wa Esau waketio Seiri; nao watawaogopa; basi jiangalieni nafsi zenu sana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muko karibu kupita katika inchi ya milima ya Seiri, inchi ya wandugu zenu wazao wa Esau. Hao watawaogopa, lakini mufanye angalisho,