Deuteronomy 2:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
msipigane nao kwa sababu sitawapeni sehemu yoyote ya nchi yao. Sitawapeni hata mahali padogo pa kukanyaga. Nchi hiyo ya milima ya Seiri nimewapa wazawa wa Esau iwe mali yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
msitete nao; kwa maana sitawapa katika nchi yao kamwe, hata kiasi cha kukanyaga wayo wa mguu; kwa kuwa nimempa Esau milima ya Seiri kuwa milki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
msipigane nao kwa sababu sitawapeni sehemu yoyote ya nchi yao. Sitawapeni hata mahali padogo pa kukanyaga. Nchi hiyo ya milima ya Seiri nimewapa wazawa wa Esau iwe mali yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yo yote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
msipigane nao; kwa kuwa sitawapa sehemu ya nchi yao kamwe, hata kiasi cha kukanyaga wayo wa mguu; kwa kuwa nimempa Esau milima ya Seiri kuwa milki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
msipigane nao kwa sababu sitawapeni sehemu yoyote ya nchi yao. Sitawapeni hata mahali padogo pa kukanyaga. Nchi hiyo ya milima ya Seiri nimewapa wazawa wa Esau iwe mali yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
msiwapelekee vita! Kwani sitawapa ninyi hata kipande kidogo cha nchi yao, ijapo pawe pa kukanyagia kwa mguu mmoja tu, kwani mlima wa Seiri nilimpa Esau, auchukue, uwe nchi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
msitete nao; kwa maana sitawapa katika nchi yao kamwe, hata kiasi cha kukanyaga wayo wa mguu; kwa kuwa nimempa Esau milima ya Seiri kuwa milki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
musipigane nao kwa sababu sitawapa sehemu yoyote ya inchi yao. Sitawapa hata pahali padogo pa kukanyaga. Inchi hiyo ya milima ya Seiri nimewapa wazao wa Esau ikuwe mali yao.