Deuteronomy 2:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hivyo tuliendelea na safari yetu, tukawapita ndugu zetu, wazawa wa Esau ambao waliishi Seiri, tukaiacha nyuma ile njia ya Araba na pia miji ya Elathi na Esion-geberi. Kisha tukageuka tukafuata njia ya kupitia nyika ya Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi tulipita kwa ndugu zetu wazao wa Esau ambao wanaishi Seiri. Tuligeuka kutoka njia ya Araba ambayo inatokea Elathi na Esion-Geberi, tukasafiri kufuata njia ya jangwa la Moabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi tukapita kando yao ndugu zetu wana wa Esau, waketio Seiri kutoka njia ya Araba, kutoka Elathi na kutoka Esion-geberi. Tukageuka tukapita njia ya bara ya Moabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hivyo tuliendelea na safari yetu, tukawapita ndugu zetu, wazawa wa Esau ambao waliishi Seiri, tukaiacha nyuma ile njia ya Araba na pia miji ya Elathi na Esion-geberi. Kisha tukageuka tukafuata njia ya kupitia nyika ya Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi tulipita kwa ndugu zetu wazao wa Esau ambao wanaishi Seiri. Tuligeuka kutoka njia ya Araba ambayo inatokea Elathi na Esion-Geberi, tukasafiri kufuata njia ya jangwa la Moabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi tulipita kwa ndugu zetu wazao wa Esau ambao wanaishi Seiri. Tuligeuka kutoka njia ya Araba ambayo inatokea Elathi na Esion-Geberi, tukasafiri kufuata njia ya jangwa la Moabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi tukapita kando yao ndugu zetu wana wa Esau, waishio Seiri kutoka njia ya Araba, kutoka Elathi na kutoka Esion-geberi. Tukageuka tukapita njia ya bara ya Moabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hivyo tuliendelea na safari yetu, tukawapita ndugu zetu, wazawa wa Esau ambao waliishi Seiri, tukaiacha nyuma ile njia ya Araba na pia miji ya Elathi na Esion-geberi. Kisha tukageuka tukafuata njia ya kupitia nyika ya Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, tulipoendelea kusafiri na kuondoka kwao ndugu zetu wana wa Esau waliokaa Seiri, tukaziacha njia za huko nyikani na za Elati na za Esioni-Geberi, tukageuka na kushika njia ya kwenda kwenye nyika ya Moabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi tukapita kando yao ndugu zetu wana wa Esau, waketio Seiri kutoka njia ya Araba, kutoka Elathi na kutoka Esion-geberi. Tukageuka tukapita njia ya bara ya Moabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Hivyo tukaendelea na safari yetu, tukawapita wandugu zetu, wazao wa Esau ambao waliishi Seiri, tukaepuka vilevile ile njia ya bonde na sehemu za miji ya Elati na Esioni-Geberi. Kisha tukageuka tukafuata njia ya kupitia jangwa la Moabu.