Deuteronomy 2:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Usiwasumbue watu wa Moabu, wala usipigane nao maana sitawapeni sehemu yoyote ya nchi yao. Ila eneo hilo la Ari nimewapa hao wazawa wa Loti liwe mali yao.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akaniambia, “Usiwasumbue Wamoabu kwa vita, kwa kuwa sitawapa sehemu yoyote ya nchi yao. Nimetoa nchi ya Ari kwa wazao wa Lutu kama milki yao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaniambia, usiwasumbue Wamoabi, wala usishindane nao katika mapigano; kwa kuwa sitakupa katika nchi yake kuimiliki; kwa sababu Ari nimewapa wana wa Lutu kuimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Usiwasumbue watu wa Moabu, wala usipigane nao maana sitawapeni sehemu yoyote ya nchi yao. Ila eneo hilo la Ari nimewapa hao wazawa wa Loti liwe mali yao.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akaniambia, “Usiwasumbue Wamoabu kwa vita, kwa kuwa sitawapa sehemu yo yote ya nchi yao. Nimetoa nchi ya Ari kwa wazao wa Loti kama milki yao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akaniambia, “Usiwasumbue Wamoabu kwa vita, kwa kuwa sitawapa sehemu yoyote ya nchi yao. Nimetoa nchi ya Ari kwa wazao wa Lutu kama milki yao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaniambia, Usiwasumbue Wamoabi, wala usishindane nao katika mapigano; kwa kuwa sitakupa katika nchi yake kuimiliki; kwa sababu Ari nimewapa wana wa Lutu kuimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Usiwasumbue watu wa Moabu, wala usipigane nao maana sitawapeni sehemu yoyote ya nchi yao. Ila eneo hilo la Ari nimewapa hao wazawa wa Loti liwe mali yao.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana aliponiambia: Usiwasonge Wamoabu, wala msiwapelekee vita mkipigana nao! Kwani sitakupa kipande cha nchi yao, mwichukue, iwe yenu, kwa kuwa naliwapa wana wa Loti nchi ya Ari, waichukue, iwe yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaniambia, usiwasumbue Wamoabi, wala usishindane nao katika mapigano; kwa kuwa sitakupa katika nchi yake kuimiliki; kwa sababu Ari nimewapa wana wa Lutu kuimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akaniambia: ‘Usiwasumbue watu wa Moabu, wala usipigane nao maana sitawapa sehemu yoyote ya inchi yao. Lakini eneo hilo la Ari nimewapa hao wazao wa Loti likuwe mali yao.’