Deuteronomy 20:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mnapokaribia mji kuushambulia, kwanza wapeni wakazi wake masharti ya amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakapoenda kushambulia mji, wapeni watu wake masharti ya amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakaposongea karibu ya mji kwenda kupigana juu yake, ndipo utakapowapigia ukelele wa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mnapokaribia mji kuushambulia, kwanza wapeni wakazi wake masharti ya amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mtakapokwenda kushambulia mji, wapeni watu wake masharti ya amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mtakapokwenda kushambulia mji, wapeni watu wake masharti ya amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakaposogea karibu ya mji kwenda kupigana juu yake, ndipo utakapowapigia ukelele wa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mnapokaribia mji kuushambulia, kwanza wapeni wakazi wake masharti ya amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapokaribia mji kupigana nao, kwanza uulize mapatano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakaposongea karibu ya mji kwenda kupigana juu yake, ndipo utakapowapigia ukelele wa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Munapokaribia muji kwa kuushambulia, kwanza muwape wakaaji wake masharti ya amani.