Deuteronomy 20:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakazi wa mji huo wakitaka amani na kujisalimisha kwenu, basi watu wote waliomo humo watawatumikieni na kufanya kazi za kulazimishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakikubali na kuwafungulia malango yao, watu wake wote watakuwa watumwa wa kufanya kazi ngumu, na watawatumikia ninyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa utakapokujibu kwa amani, na kukufungulia, ndipo watu wote watakaoonekana humo watakufanyia kazi ya shokoa, na kukutumikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakazi wa mji huo wakitaka amani na kujisalimisha kwenu, basi watu wote waliomo humo watawatumikieni na kufanya kazi za kulazimishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakikubali na kuwafungulia malango yao, watu wake wote watawatumikia kwa kufanya kazi ngumu na watawatumikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakikubali na kuwafungulia malango yao, watu wake wote watawatumikia kwa kufanya kazi ngumu na watawatumikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itakuwa watakapokujibu kwa amani, na kukufungulia, ndipo watu wote watakaoonekana humo watakufanyia kazi ya shokoa, na kukutumikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakazi wa mji huo wakitaka amani na kujisalimisha kwenu, basi watu wote waliomo humo watawatumikieni na kufanya kazi za kulazimishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakapokuitikia kwa kutaka mapatano, wakakufungulia malango, basi, watu wote watakaoonekana humo watakufanyizia kazi za nguvu na kukutumikia hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa utakapokujibu kwa amani, na kukufungulia, ndipo watu wote watakaoonekana humo watakufanyia kazi ya shokoa, na kukutumikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaaji wa muji huo wakitaka amani na kujitoa kwenu, basi watu wote wanaokuwa humo watawatumikia na kufanya kazi za kulazimishwa.