Deuteronomy 20:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wakazi wa mji huo wasipofanya amani nanyi, lakini wakapigana vita nanyi, basi, mtauzingira mji wao;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa watakataa kufanya mapatano ya amani na wakiwaingiza katika vita, basi mtauzingira mji huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwamba hautaki kufanya amani nawe, lakini utafanya vita juu yako, ndipo uuhusuru;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wakazi wa mji huo wasipofanya amani nanyi, lakini wakapigana vita nanyi, basi, mtauzingira mji wao;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa watakataa kufanya mapatano ya amani na wakiwaingiza katika vita, basi mtauzunguka mji huo kwa vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa watakataa kufanya mapatano ya amani na wakiwaingiza katika vita, basi mtauzunguka mji huo kwa vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwamba hawataki kufanya amani nawe, lakini watafanya vita juu yako, ndipo uuhusuru;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wakazi wa mji huo wasipofanya amani nanyi, lakini wakapigana vita nanyi, basi, mtauzingira mji wao;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watakapokataa kukuitikia mapatano wakitaka kupigana na wewe, basi, na uusonge.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwamba hautaki kufanya amani nawe, lakini utafanya vita juu yako, ndipo uuhusuru;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakaaji wa muji huo wasipofanya amani nanyi, lakini wakipigana vita nanyi, basi, mutazunguka muji wao kwa vita,