Deuteronomy 20:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Bwana, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati BWANA Mungu wenu atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati bwana Mwenyezi Mungu wenu atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na BWANA, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wako atakapoutia mikononi mwako, sharti uwapige wa kiume wote waliomo kwa ukali wa upanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na BWANA, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye Yawe, Mungu wenu, akiutia katika mikono yenu, mutawaua kwa upanga wanaume wote.