Deuteronomy 20:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini katika miji ya nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni, msisalimishe chochote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, katika miji ya mataifa ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa kama urithi, msiache kitu chochote hai kinachopumua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana, Mungu wako, kuwa urithi, usihifadhi kuwa hai kitu cho chote kipumzikacho;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini katika miji ya nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni, msisalimishe chochote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, katika miji ya mataifa ambayo BWANA Mungu wenu anawapa kama urithi, msiache kitu cho chote hai kinachopumua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, katika miji ya mataifa ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kama urithi, msiache kitu chochote hai kinachopumua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo BWANA, Mungu wako, kuwa urithi, usihifadhi kuwa hai kitu chochote kipumzikacho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini katika miji ya nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni, msisalimishe chochote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini katika miji ya haya makabila, Bwana Mungu wako atakayokupa, iwe fungu lako mwenyewe, usiponye hata mmoja avutaye pumzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo BWANA, Mungu wako, kuwa urithi, usihifadhi kuwa hai kitu cho chote kipumzikacho;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini katika miji ya inchi ambayo Yawe, Mungu wenu, anawapa, musiache kitu chochote.