Deuteronomy 20:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtawaangamiza watu wote: Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyoamuru,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waangamizeni kabisa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, kama Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, alivyowaamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru Bwana, Mungu wako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtawaangamiza watu wote: Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyoamuru,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waangamizeni kabisa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, kama BWANA Mungu wenu alivyowaamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waangamizeni kabisa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, kama bwana Mwenyezi Mungu wenu alivyowaamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtawaangamiza watu wote: Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyoamuru,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila sharti uwatie mwiko kabisa wa kuwapo hao Wahiti na Waamori na Wakanaani na Waperizi na Wahiwi na Wayebusi, kama Bwana Mungu wako alivyokuagiza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutawaangamiza watu wote: Wahiti, Waamori, Wakanana, Waperizi, Wahivi na Wayebusi kama vile Yawe, Mungu wenu alivyoamuru,