Deuteronomy 20:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla ya kuanza mapigano, kuhani atajitokeza mbele na kuwaambia watu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakapokaribia kwenda vitani, kuhani atakuja mbele na kuhutubia jeshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na iwe, msongeapo mapiganoni, kuhani na akaribie na kusema na watu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla ya kuanza mapigano, kuhani atajitokeza mbele na kuwaambia watu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mtakapokaribia kwenda vitani, kuhani atakuja mbele na kuhutubia jeshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mtakapokaribia kwenda vitani, kuhani atakuja mbele na kuhutubia jeshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na iwe, msogeapo mapiganoni, kuhani na akaribie na kusema na watu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla ya kuanza mapigano, kuhani atajitokeza mbele na kuwaambia watu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hapo, mapigano yatakapokuwa karibu, mtambikaji na awakaribie ninyi kusema na watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na iwe, msongeapo mapiganoni, kuhani na akaribie na kusema na watu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele ya kuanza mapigano, kuhani atajitokeza mbele na kuwaambia watu: