Deuteronomy 20:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Watu wa Israeli sikilizeni! Leo mnakaribia kupigana dhidi ya adui zenu. Msife moyo, au kuogopa, au kutishika, au kuwaogopa adui;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atasema: “Sikia, ee Israeli, leo unaenda vitani kupigana na adui zako. Usife moyo wala usiogope, usitishwe wala usitiwe hofu mbele yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
awaambie, Sikizeni, enyi Israeli, hivi leo mwasongea mapiganoni juu ya adui zenu mioyo yenu na isizime; msiche, wala msiteteme, wala msiingiwe na hofu kwa ajili ya wao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Watu wa Israeli sikilizeni! Leo mnakaribia kupigana dhidi ya adui zenu. Msife moyo, au kuogopa, au kutishika, au kuwaogopa adui;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atasema: “Sikia, Ee Israeli, leo unakwenda vitani kupigana na adui zako. Usife moyo wala usiogope, usitishwe wala usitiwe hofu mbele yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atasema: “Sikia, ee Israeli, leo unakwenda vitani kupigana na adui zako. Usife moyo wala usiogope, usitishwe wala usitiwe hofu mbele yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
awaambie, Sikilizeni, enyi Israeli, hivi leo mwasogea mapiganoni juu ya adui zenu mioyo yenu isizimie; msiogope, wala msiteteme, wala msiingiwe na hofu kwa ajili ya wao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Watu wa Israeli sikilizeni! Leo mnakaribia kupigana dhidi ya adui zenu. Msife moyo, au kuogopa, au kutishika, au kuwaogopa adui;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Awaambie: Sikilizeni, Waisiraeli! Ninyi leo mnakwenda kupigana na adui zenu, lakini kwa hiyo mioyo yenu isilegee, msiwaogope na kutetemeka, wala msiwastuke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
awaambie, Sikizeni, enyi Israeli, hivi leo mwasongea mapiganoni juu ya adui zenu mioyo yenu na isizime; msiche, wala msiteteme, wala msiingiwe na hofu kwa ajili ya wao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Watu wa Israeli musikilize! Leo munakaribia kupigana na waadui zenu. Musivunjike moyo, au kuogopa, au kutishwa, au kuwaogopa waadui;