Deuteronomy 20:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna mtu yeyote hapa aliyepanda mizabibu na ambaye hajafurahia matunda yake ya kwanza? Arudi nyumbani asije akafia vitani na mtu mwingine akafurahia matunda yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, kuna yeyote aliyepanda shamba la mizabibu na hajaanza kulifurahia? Yeye na arudi nyumbani, au sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akalifurahia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni mtu gani aliye hapa aliyepanda shamba la mizabibu, wala hajatumia matunda yake? Aende akarudi nyumbani kwake asije akafa mapiganoni, yakatumiwa na mtu mwingine matunda yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna mtu yeyote hapa aliyepanda mizabibu na ambaye hajafurahia matunda yake ya kwanza? Arudi nyumbani asije akafia vitani na mtu mwingine akafurahia matunda yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, kuna ye yote aliyepanda shamba la mizabibu na hajaanza kulifurahia? Yeye na arudi nyumbani, au sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akalifurahia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, kuna yeyote aliyepanda shamba la mizabibu na hajaanza kulifurahia? Yeye na arudi nyumbani, au sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akalifurahia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni mtu gani aliye hapa aliyepanda shamba la mizabibu, wala hajatumia matunda yake? Arudi nyumbani kwake asije akafa mapiganoni, yakatumiwa na mtu mwingine matunda yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna mtu yeyote hapa aliyepanda mizabibu na ambaye hajafurahia matunda yake ya kwanza? Arudi nyumbani asije akafia vitani na mtu mwingine akafurahia matunda yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au kama yuko mtu aliyepanda shamba la mizabibu naye hajalilimbua, na aende kurudi nyumbani kwake, asife katika mapigano, mtu mwingine akalilimbua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni mtu gani aliye hapa aliyepanda shamba la mizabibu, wala hajatumia matunda yake? Aende akarudi nyumbani kwake asije akafa mapiganoni, yakatumiwa na mtu mwingine matunda yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna mutu yeyote hapa aliyepanda mizabibu na ambaye hajafurahia matunda yake ya kwanza? Arudi kwake asikufie kwenye vita na mutu mwingine afurahie matunda yake.