Deuteronomy 20:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna mwanamume yeyote hapa aliyeposa na yuko karibu kuoa? Arudi nyumbani, asije akafia vitani, na mwanamume mwingine akaoa mchumba wake.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, kuna yeyote aliyeposa mwanamke na hajamwoa? Yeye na arudi nyumbani, ama sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akamwoa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni mtu gani aliye hapa aliyemposa mke wala hajaoa? Aende akarudi nyumbani kwake asije akafa mapiganoni, huyo mwanamke akaolewa na mume mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna mwanamume yeyote hapa aliyeposa na yuko karibu kuoa? Arudi nyumbani, asije akafia vitani, na mwanamume mwingine akaoa mchumba wake.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, kuna ye yote aliyeposa mwanamke na hajamwoa? Yeye na arudi nyumbani, ama sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akamwoa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, kuna yeyote aliyeposa mwanamke na hajamwoa? Yeye na arudi nyumbani, ama sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akamwoa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni mtu gani aliye hapa aliyemposa mke wala hajaoa? Arudi nyumbani kwake asije akafa mapiganoni, huyo mwanamke akaolewa na mume mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna mwanamume yeyote hapa aliyeposa na yuko karibu kuoa? Arudi nyumbani, asije akafia vitani, na mwanamume mwingine akaoa mchumba wake.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au kama yuko mtu aliyeposa mwanamke, naye hajamwoa, na aende kurudi nyumbani kwake, asife katika mapigano, mwingine akamwoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni mtu gani aliye hapa aliyemposa mke wala hajaoa? Aende akarudi nyumbani kwake asije akafa mapiganoni, huyo mwanamke akaolewa na mume mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna mwanaume yeyote hapa aliyechumbia na yuko karibu kuoa? Arudie kwake, kusudi asikufie kwenye vita, na mwanaume mwingine aoe muchumba wake.