Deuteronomy 20:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maofisa wakisha sema na watu, basi makamanda watawaongoza watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maafisa watakapomaliza kuzungumza na jeshi, watawateua wakuu wa vikosi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa hapo watakapokwisha wale maakida kusema na watu, na waweke majemadari wa majeshi juu ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maofisa wakisha sema na watu, basi makamanda watawaongoza watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati maafisa watakapomaliza kuzungumza na jeshi, watawateua wakuu wa vikosi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati maafisa watakapomaliza kuzungumza na jeshi, watawateua wakuu wa vikosi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itakuwa hapo watakapokwisha wale makamanda kusema na watu, na waweke majemadari wa majeshi juu ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maofisa wakisha sema na watu, basi makamanda watawaongoza watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wenye amri watakapokwisha kusema na watu, na waweke wakuu wa vikosi kuwatangulia watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa hapo watakapokwisha wale maakida kusema na watu, na waweke majemadari wa majeshi juu ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wakisha kusema na watu, basi majemadari watawaongoza watu.