Deuteronomy 21:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akipatikana ameuawa mbugani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni muimiliki, nanyi hamjui ni nani aliyemuua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu akikutwa ameuawa, naye amelala kwenye shamba katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa kuimiliki, wala haijulikani ni nani aliyemuua,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aonekanapo mtu ameuawa katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, kuimiliki, amelala kondeni, wala haijulikani ni nani aliyempiga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akipatikana ameuawa mbugani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni muimiliki, nanyi hamjui ni nani aliyemuua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu akikutwa ameuawa, naye amelala kwenye shamba katika nchi ambayo BWANA Mungu wenu anawapa kuimiliki, wala haijulikani ni nani aliyemwua,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu akikutwa ameuawa, naye amelala kwenye shamba katika nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kuimiliki, wala haijulikani ni nani aliyemuua,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aonekanapo mtu ameuawa katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, kuimiliki, amelala kondeni, wala haijulikani ni nani aliyempiga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akipatikana ameuawa mbugani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni muimiliki, nanyi hamjui ni nani aliyemuua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakapoonekana mtu aliyeuawa katika hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, uichukue, iwe yako, naye akiwa analala porini, yule aliyemwua asijulikane,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aonekanapo mtu ameuawa katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, kuimiliki, amelala kondeni, wala haijulikani ni nani aliyempiga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutu akipatikana ameuawa katika mbuga katika inchi ambayo Yawe, Mungu wenu, anawapa kuwa urizi wenu, nanyi hamujui ni nani aliyemwua,