Deuteronomy 21:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mkienda kupigana vita na adui, naye Mwenyezi-Mungu akawapeni ushindi, mkawachukua mateka,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkienda vitani kupigana na adui zenu, naye Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, akawatia adui mikononi mwenu, nanyi mkachukua mateka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na Bwana, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo mateka,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mkienda kupigana vita na adui, naye Mwenyezi-Mungu akawapeni ushindi, mkawachukua mateka,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkienda vitani kupigana na adui zenu naye BWANA Mungu wenu akawatia adui mikononi mwenu, nanyi mkachukua mateka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkienda vitani kupigana na adui zenu naye bwana Mwenyezi Mungu wenu akawatia adui mikononi mwenu, nanyi mkachukua mateka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na BWANA, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo mateka,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mkienda kupigana vita na adui, naye Mwenyezi-Mungu akawapeni ushindi, mkawachukua mateka,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapotoka kwenda kupigana na adui zako, naye Bwana Mungu wako atakapowatia mikononi mwako, uwachukue kuwa mateka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapokwenda vitani kupigana juu ya adui zako, na BWANA, Mungu wako, awatiapo mikononi mwako, nawe uwachukuapo mateka,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mukienda kupigana vita na adui, naye Yawe akiwapa ushindi, na kuteka vitu,