Deuteronomy 21:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama mmoja wenu akiona miongoni mwa mateka mwanamke mzuri, akamtamani na kutaka kumwoa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama ukiona miongoni mwa mateka mwanamke mzuri wa sura nawe ukavutiwa naye, unaweza kumtwaa awe mke wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama mmoja wenu akiona miongoni mwa mateka mwanamke mzuri, akamtamani na kutaka kumwoa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama ukiona miongoni mwa mateka mwanamke mzuri wa sura nawe wavutwa naye, waweza kumwoa akawa mke wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama ukiona miongoni mwa mateka mwanamke mzuri wa sura nawe wavutwa naye, waweza kumwoa akawa mke wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama mmoja wenu akiona miongoni mwa mateka mwanamke mzuri, akamtamani na kutaka kumwoa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe ukiona katika hayo mateka mwanamke mwenye mwili mzuri wa kupendezwa naye, basi, utamchukua kuwa mkeo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama mumoja wenu akiona kati ya vitu vilivyotekwa mwanamuke muzuri, akimutamani na kutaka kumwoa,