Deuteronomy 21:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama baadaye hupendezwi naye, utamwacha huru aende zake; usimwuze kwa fedha, wala usimfanye kama mtumwa, kwa sababu ulimnyenyekesha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama hutaendelea kupendezwa naye, mwache aende popote anapotaka. Kamwe huwezi kumuuza au kumtendea kama mtumwa, kwa sababu utakuwa umemvunjia heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena utakapokuwa huna furaha naye, mpe ruhusa aende atakako; lakini usimwuze kabisa kwa fedha, usimfanye kama mtumwa, kwa kuwa ulimtweza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama baadaye hupendezwi naye, utamwacha huru aende zake; usimwuze kwa fedha, wala usimfanye kama mtumwa, kwa sababu ulimnyenyekesha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama hutaendelea kupendezwa naye, mwache aende po pote anapotaka. Kamwe huwezi kumuuza au kumtendea kama mtumwa, kwa sababu utakuwa umemvunjia heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama hutaendelea kupendezwa naye, mwache aende popote anapotaka. Kamwe huwezi kumuuza au kumtendea kama mtumwa, kwa sababu utakuwa umemvunjia heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena utakapokuwa huna furaha naye, mpe ruhusa aende atakako; lakini usimwuze kabisa kwa fedha, usimfanye kama mtumwa, kwa kuwa ulimtweza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama baadaye hupendezwi naye, utamwacha huru aende zake; usimwuze kwa fedha, wala usimfanye kama mtumwa, kwa sababu ulimnyenyekesha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini itakapokuwa, usipendezwe tena naye, utampa ruhusa, ajiendee, atakakopenda, lakini usimwuze kwa fedha, wala usimkorofishe, kwa kuwa ulimtumia kuwa mkeo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena utakapokuwa huna furaha naye, mpe ruhusa aende atakako; lakini usimwuze kabisa kwa fedha, usimfanye kama mtumwa, kwa kuwa ulimtweza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama kisha hapendezwi naye, atamwacha aende anakotaka. Mwanaume huyo hatamwuzisha kwa kupata feza, wala hatamutendea kama vile mutumwa kwa sababu amemunyenyekeza.