Deuteronomy 21:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mtu ana mtoto mkaidi na mtundu, asiyemtii baba yake au mama yake wanapompa nidhamu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomkanya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akiwa na mwana mkaidi, mshupavu, asiyetii sauti ya baba yake, wala sauti ya mama yake, nao wajapomwadhibu hawasikizi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mtu ana mtoto mkaidi na mtundu, asiyemtii baba yake au mama yake wanapompa nidhamu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akiwa na mwana mkaidi, mshupavu, asiyetii sauti ya baba yake, wala sauti ya mama yake, nao wajapomwadhibu hawasikizi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mtu ana mtoto mkaidi na mtundu, asiyemtii baba yake au mama yake wanapompa nidhamu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, mtu awe na mwana mtundu na mkatavu asiyesikia wala sauti ya baba yake wala sauti ya mama yake, asisikie, ijapo wamchape,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akiwa na mwana mkaidi, mshupavu, asiyetii sauti ya baba yake, wala sauti ya mama yake, nao wajapomwadhibu hawasikizi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kama mutu ana mutoto mwenye kiburi na mwasi, asiyemutii baba yake au mama yake ingawa wanamwazibu,