Deuteronomy 21:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wazee na waamuzi wenu watajitokeza na kupima umbali wa kutoka mahali maiti ilipo hadi miji ya karibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wazee wenu na waamuzi watatoka na kupima umbali kutoka maiti alipolala hadi kwenye miji iliyo jirani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na watoke nje wazee wako na waamuzi wako, nao wapime hapo mpaka miji iliyomzunguka huyo aliyeuawa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wazee na waamuzi wenu watajitokeza na kupima umbali wa kutoka mahali maiti ilipo hadi miji ya karibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wazee wenu na waamuzi watatoka na kupima umbali kutoka maiti alipolala mpaka kwenye miji ya jirani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wazee wenu na waamuzi watatoka na kupima umbali kutoka maiti alipolala mpaka kwenye miji ya jirani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na watoke nje wazee wako na waamuzi wako, nao wapime hapo mpaka miji iliyomzunguka huyo aliyeuawa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wazee na waamuzi wenu watajitokeza na kupima umbali wa kutoka mahali maiti ilipo hadi miji ya karibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, wazee wako na waamuzi wako na watoke, wazipime njia za kwenda katika miji inayomzunguka yule mtu aliyeuawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na watoke nje wazee wako na waamuzi wako, nao wapime hapo mpaka miji iliyomzunguka huyo aliyeuawa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wazee na waamuzi wenu watajitokeza na kupima umbali wa kutoka pahali maiti inapokuwa mpaka kwenye miji ya karibu.