Deuteronomy 21:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, wazee wa mji ule ulio karibu zaidi na ile maiti watachukua ndama ambaye hajatumiwa kufanya kazi yoyote ile wala kutiwa nira.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wazee wa ule mji ulio karibu zaidi na yule maiti watamchukua mtamba ambaye hajapata kufanyishwa kazi na ambaye hajafungwa nira,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na iwe, mji ulio karibu na yule aliyeuawa, wale wazee wake mji huo watwae mtamba katika kundi la ng'ombe, ambaye hajafanya kazi, wala hajakokota jembe la nira;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, wazee wa mji ule ulio karibu zaidi na ile maiti watachukua ndama ambaye hajatumiwa kufanya kazi yoyote ile wala kutiwa nira.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wazee wa ule mji uliokaribu zaidi na yule maiti watamchukua mtamba ambaye hajapata kufanyishwa kazi na ambaye hajafungwa nira,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wazee wa ule mji ulio karibu zaidi na yule maiti watamchukua mtamba ambaye hajapata kufanyishwa kazi na ambaye hajafungwa nira,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na iwe, mji ulio karibu na yule aliyeuawa, wale wazee wake mji huo watwae mtamba katika kundi la ng'ombe, ambaye hajafanya kazi, wala hajakokota jembe la nira;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, wazee wa mji ule ulio karibu zaidi na ile maiti watachukua ndama ambaye hajatumiwa kufanya kazi yoyote ile wala kutiwa nira.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wazee wa mji huo utakaokuwa karibu zaidi ya yule mtu aliyeuawa sharti wachukue mori ya ng'ombe asiyefanyishwa kazi bado, wala asiyevuta bado gari au jembe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na iwe, mji ulio karibu na yule aliyeuawa, wale wazee wake mji huo watwae mtamba katika kundi la ng’ombe, ambaye hajafanya kazi, wala hajakokota jembe la nira;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, wazee wa muji ule unaokuwa karibu zaidi na ile maiti watatwaa mwana-ngombe ambaye hajatumiwa kufanya kazi yoyote wala kutiwa nira.