Deuteronomy 21:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watamteremsha ndama bondeni kwenye kijito ambacho hakikauki, na bonde hilo halilimwi au kupandwa; huko watamvunja huyo ndama shingo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kumpeleka kwenye bonde ambalo halijapata kulimwa au kupandwa mazao na ambapo kuna chemchemi inayotiririka. Huko kwenye hilo bonde, wazee watamvunja yule mtamba shingo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wazee wa mji huo na wamshushe yule mtamba mpaka bonde lenye maji ya mtoni, lisilolimwa wala kupandwa, wakamvunje yule mtamba shingo yake humo bondeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watamteremsha ndama bondeni kwenye kijito ambacho hakikauki, na bonde hilo halilimwi au kupandwa; huko watamvunja huyo ndama shingo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kumpeleka kwenye bonde ambalo halijapata kulimwa au kupandwa mazao na ambapo kuna chemchemi itiririkayo. Huko kwenye hilo bonde watamvunja yule mtamba shingo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kumpeleka kwenye bonde ambalo halijapata kulimwa au kupandwa mazao na ambapo kuna chemchemi itiririkayo. Huko kwenye hilo bonde, wazee watamvunja yule mtamba shingo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wazee wa mji huo na wamshushe yule mtamba mpaka bonde lenye mto wa maji, lisilolimwa wala kupandwa, wakamvunje yule mtamba shingo yake humo bondeni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watamteremsha ndama bondeni kwenye kijito ambacho hakikauki, na bonde hilo halilimwi au kupandwa; huko watamvunja huyo ndama shingo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyo mori wazee na wamtelemshe penye mto usiokupwa, pasipolimwa wala pasipopandwa, kisha wamvunje huyo mori shingo huko mtoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wazee wa mji huo na wamshushe yule mtamba mpaka bonde lenye maji ya mtoni, lisilolimwa wala kupandwa, wakamvunje yule mtamba shingo yake humo bondeni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watamuteremusha mwana-ngombe katika bonde kwenye kijito ambacho hakikauki, na bonde hilo halilimwi au kupandwa. Huko watamuvunja huyo mwana-ngombe shingo.