Deuteronomy 22:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ukimwona ng'ombe au kondoo wa ndugu yako amepotea, usimwache, bali mrudishe kwa ndugu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukimwona ng’ombe au kondoo wa ndugu yako anapotea, usipuuze, bali uhakikishe unamrudisha kwa mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umwonapo ng'ombe wa nduguyo au kondoo wake akipotea, usijifiche kama usiyemwona; sharti utamrudisha kwa nduguyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ukimwona ng'ombe au kondoo wa ndugu yako amepotea, usimwache, bali mrudishe kwa ndugu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukimwona ng'ombe au kondoo wa ndugu yako anapotea, usipuuze, bali uhakikishe unamrudisha kwa mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukimwona ng’ombe au kondoo wa ndugu yako anapotea, usipuuze, bali uhakikishe unamrudisha kwa mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umwonapo ng'ombe wa nduguyo au kondoo wake akipotea, usijifiche kama usiyemwona; sharti utamrudisha kwa nduguyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ukimwona ng'ombe au kondoo wa ndugu yako amepotea, usimwache, bali mrudishe kwa ndugu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoona, ng'ombe au kondoo wa ndugu yako wakipotea, usijifiche kuwa kama mtu asiyewaona, ila sharti uwarudishe kwake ndugu yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umwonapo ng’ombe wa nduguyo au kondoo wake akipotea, usijifiche kama usiyemwona; sharti utamrudisha kwa nduguyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ukimwona ngombe au kondoo wa ndugu yako amepotea, usimwache, lakini umurudishe kwa ndugu yako.