Deuteronomy 22:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwanamume akioa mwanamke, halafu baadaye akate shauri kumwacha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa mtu atamwoa mke na baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwanamume akioa mwanamke, halafu baadaye akate shauri kumwacha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwanamume akioa mwanamke, halafu baadaye akate shauri kumwacha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, mtu amwoe mkewe na kuingia kwake, kisha achukizwe naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kama mwanaume anamwoa mwanamuke, halafu kisha akakata shauri la kumwacha,