Deuteronomy 22:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na ajabu ni kwamba amemshtaki mambo ya aibu na kusema ati hakumkuta na ushahidi wowote wa ubikira. Hata hivyo ushahidi wa ubikira wa binti yetu ni huu.’ Halafu atakunjua nguo yenye huo ushahidi mbele ya wazee wa mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa amemsingizia na kusema, ‘Sikumkuta huyu binti akiwa bikira.’ Lakini hapa kuna uthibitisho wa ubikira wa binti yangu.” Kisha wazazi wake wataonesha nguo zake kwa wazee wa mji,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na ajabu ni kwamba amemshtaki mambo ya aibu na kusema ati hakumkuta na ushahidi wowote wa ubikira. Hata hivyo ushahidi wa ubikira wa binti yetu ni huu.’ Halafu atakunjua nguo yenye huo ushahidi mbele ya wazee wa mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa amemsingizia na kusema, ‘Sikumkuta huyu binti akiwa bikira.’ Lakini hapa kuna uthibitisho wa ubikira wa binti yangu.” Kisha wazazi wake wataonyesha nguo zake kwa wazee wa mji,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa amemsingizia na kusema, ‘Sikumkuta huyu binti akiwa bikira.’ Lakini hapa kuna uthibitisho wa ubikira wa binti yangu.” Kisha wazazi wake wataonyesha nguo zake kwa wazee wa mji,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na ajabu ni kwamba amemshtaki mambo ya aibu na kusema ati hakumkuta na ushahidi wowote wa ubikira. Hata hivyo ushahidi wa ubikira wa binti yetu ni huu.’ Halafu atakunjua nguo yenye huo ushahidi mbele ya wazee wa mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamsingizia mambo ya uwongo kwamba: Sikumwona kuwa mwanamwali. Lakini yatazameni haya yanayoujulisha uwanawali wa mwanangu! Kisha waikunjue hiyo nguo mbele ya wazee wa mji huo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na ajabu ni kwamba ameshitaki mambo ya haya na kusema kwamba hakumukuta na ushuhuda wowote kwamba alikuwa bikira. Hata hivyo ushuhuda wa ubikira wa binti yetu ni huu’. Halafu atakunjua nguo yenye huo ushuhuda mbele ya wazee wa muji.