Deuteronomy 22:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia watamtoza mtu huyo faini ya vipande 100 vya fedha na kupewa baba wa huyo mwanamke kwa kuwa mwanamume huyo amemharibia sifa binti wa Israeli. Na huyo mwanamke ataendelea kuwa mke wake na hataweza kumpa talaka maisha yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watamtoza shekeli mia moja za fedha na kupewa wazazi wa msichana, kwa sababu mwanaume huyu amempa bikira Mwisraeli jina baya. Ataendelea kuwa mke wake; kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia watamtoza mtu huyo faini ya vipande 100 vya fedha na kupewa baba wa huyo mwanamke kwa kuwa mwanamume huyo amemharibia sifa binti wa Israeli. Na huyo mwanamke ataendelea kuwa mke wake na hataweza kumpa talaka maisha yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watamtoza shekeli mia moja za fedha na kupewa wazazi wa msichana, kwa sababu mwanaume huyu amempa bikira wa Kiisraeli jina baya. Ataendelea kuwa mke wake; kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watamtoza shekeli mia moja za fedha na kupewa wazazi wa msichana, kwa sababu mwanaume huyu amempa bikira wa Kiisraeli jina baya. Ataendelea kuwa mke wake; kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wamtoze shekeli mia moja za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia watamtoza mtu huyo faini ya vipande 100 vya fedha na kupewa baba wa huyo mwanamke kwa kuwa mwanamume huyo amemharibia sifa binti wa Israeli. Na huyo mwanamke ataendelea kuwa mke wake na hataweza kumpa talaka maisha yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wamtoze fedha mia, wampe babake msichana, kwa kuwa yule alimpatia msichana wa Kiisiraeli jina baya; kisha awe mkewe, asiweze kumpa ruhusa kwenda zake siku zake zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile watamulipisha mutu huyo malipo ya vikoroti mia moja vya feza na kupewa baba wa huyo mwanamuke kwa sababu mwanaume huyo amemuharibishia binti wa Israeli sifa. Na huyo mwanamuke ataendelea kuwa muke wake na hataweza kuachana naye maisha yake yote.