Deuteronomy 22:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama nyumbani kwa huyu ndugu si karibu au kama humjui mwenyewe, basi, utamchukua mnyama huyo nyumbani kwako, akae kwako mpaka mwenyewe atakapokuja, nawe umrudishie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa huyo ndugu haishi karibu nawe au kama wewe hufahamu yeye ni nani, mchukue nyumbani kwako huyo mnyama, umweke hadi mwenyewe aje kumtafuta. Nawe umrudishie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwamba yule nduguyo hayupo karibu nawe, au ukiwa humjui, umchukue kwenu nyumbani kwako, uwe naye hata aje nduguyo kumtafuta, nawe mrudishie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama nyumbani kwa huyu ndugu si karibu au kama humjui mwenyewe, basi, utamchukua mnyama huyo nyumbani kwako, akae kwako mpaka mwenyewe atakapokuja, nawe umrudishie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa huyo ndugu haishi karibu nawe au kama hufahamu yeye ni nani, mchukue nyumbani kwako huyo mnyama umweke mpaka mwenyewe aje kumtafuta. Ndipo umrudishie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa huyo ndugu haishi karibu nawe au kama hufahamu yeye ni nani, mchukue nyumbani kwako huyo mnyama umweke mpaka mwenyewe aje kumtafuta. Ndipo umrudishie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwamba yule nduguyo hayupo karibu nawe, au ukiwa humjui, umchukue kwenu nyumbani kwako, uwe naye hata aje nduguyo kumtafuta, nawe mrudishie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama nyumbani kwa huyu ndugu si karibu au kama humjui mwenyewe, basi, utamchukua mnyama huyo nyumbani kwako, akae kwako mpaka mwenyewe atakapokuja, nawe umrudishie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama huyo ndugu yako hakai karibu yako, usimjue, uwaweke nyumbani mwako, wakae kwako, mpaka ndugu yako awatafute; ndipo, utakapowarudisha kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwamba yule nduguyo hayupo karibu nawe, au ukiwa humjui, umchukue kwenu nyumbani kwako, uwe naye hata aje nduguyo kumtafuta, nawe mrudishie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama nyumba ya huyu ndugu si karibu au kama haumujui mwenyeji, basi, utatwaa nyama huyo kwako, akae kwako mpaka mwenyeji atakapokuja, nawe utamurudishia naye.