Deuteronomy 22:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama mashtaka hayo ni ya kweli, na hakuna ushahidi wa ubikira wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho kuhusu ubikira wa huyo msichana uliopatikana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama mashtaka hayo ni ya kweli, na hakuna ushahidi wa ubikira wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho juu ya ubikira wa huyo msichana ulioweza kupatikana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho juu ya ubikira wa huyo msichana ulioweza kupatikana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama mashtaka hayo ni ya kweli, na hakuna ushahidi wa ubikira wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini lile neno likiwa la kweli, nayo yanayoujulisha uwanawali wake yasipoonekana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama mashitaki hayo ni ya kweli, na hakuna ushuhuda wa ubikira wake,