Deuteronomy 22:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini kama mwanamume amekutana na msichana aliyechumbiwa akamshika kwa nguvu, basi ni huyo mwanamume tu atakayeuawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ikiwa itatokea mwanaume akakutana na msichana aliyeposwa huko mashambani, akambaka, mwanaume aliyefanya hivi peke yake ndiye atakayeuawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yule mtu mume kama akimkuta kondeni kijana aliyeposwa, naye mume akamtenza nguvu, akalala naye; yule mtu mume aliyelala naye na afe pekee;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini kama mwanamume amekutana na msichana aliyechumbiwa akamshika kwa nguvu, basi ni huyo mwanamume tu atakayeuawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ikiwa itatokea mwanaume akakutana na msichana aliyeposwa huko mashambani, akambaka, mwanaume aliyefanya hivi peke yake ndiye atakayeuawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ikiwa itatokea mwanaume akakutana na msichana aliyeposwa huko mashambani, akambaka, mwanaume aliyefanya hivi peke yake ndiye atakayeuawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yule mtu mume kama akimkuta kondeni binti aliyeposwa, naye mume akamtenza nguvu, akalala naye; yule mtu mume aliyelala naye na afe pekee;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini kama mwanamume amekutana na msichana aliyechumbiwa akamshika kwa nguvu, basi ni huyo mwanamume tu atakayeuawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwanamume atakapomkuta shambani kijana wa kike aliyekwisha kuposwa, akamkamata kwa nguvu, akalala naye, basi, huyu mwanamume aliyelala naye atakufa peke yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yule mtu mume kama akimkuta kondeni kijana aliyeposwa, naye mume akamtenza nguvu, akalala naye; yule mtu mume aliyelala naye na afe pekee;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini kama mwanaume amekutana na binti aliyechumbiwa akamushika kwa nguvu, basi ni huyo mwanaume tu atakayeuawa.