Deuteronomy 22:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msimtendee huyo msichana chochote; yeye hana kosa linalostahili adhabu ya kifo. Tukio hili ni sawa na la mtu anayemshambulia mtu mwingine na kumwua, kwa sababu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimtendee msichana yule jambo lolote; hajafanya dhambi inayostahili kifo. Shauri hili ni kama lile la yeyote ambaye anamshambulia na kumuua kwa makusudi jirani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini yule kijana usimfanye neno; hana dhambi yule kijana ipasayo kuuawa, kwa kuwa ni mfano wa mtu kumwondokea mwenzake akamwua, ni vivyo lilivyo jambo hili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msimtendee huyo msichana chochote; yeye hana kosa linalostahili adhabu ya kifo. Tukio hili ni sawa na la mtu anayemshambulia mtu mwingine na kumwua, kwa sababu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimtendee msichana yule jambo lo lote; hajafanya dhambi inayostahili kifo. Shauri hili ni kama lile la ye yote ambaye anamshambulia na kumwua kwa makusudi jirani yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimtendee msichana yule jambo lolote; hajafanya dhambi inayostahili kifo. Shauri hili ni kama lile la yeyote ambaye anamshambulia na kumuua kwa makusudi jirani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini yule binti usimfanye neno; maana yule binti hana dhambi ipasayo kuuawa, kwa kuwa ni mfano wa mtu kumshambulia mwenzake akamwua, ndivyo lilivyo jambo hili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msimtendee huyo msichana chochote; yeye hana kosa linalostahili adhabu ya kifo. Tukio hili ni sawa na la mtu anayemshambulia mtu mwingine na kumwua, kwa sababu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini yule kijana wa kike msimfanyizie neno, kwani yule kijana wa kike hakukosa neno lipasalo, auawe, kwa kuwa jambo hili ni sawasawa, kama mtu aliyemwinukia mwenziwe na kumwua, afe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini yule kijana usimfanye neno; hana dhambi yule kijana ipasayo kuuawa, kwa kuwa ni mfano wa mtu kumwondokea mwenzake akamwua, ni vivyo lilivyo jambo hili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musimutendee huyo binti chochote; yeye hana kosa linalostahili azabu ya kifo. Tukio hili ni sawa na la mutu anayemushambulia mutu mwingine na kumwua, kwa sababu