Deuteronomy 22:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mwanamume huyo alimshika kwa nguvu huyo msichana huko mbugani, na ingawa alipiga kelele kuomba msaada hapakuwa na mtu wa kumsaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga yowe, hapakuwa na mtu wa kumwokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwani alimkuta kondeni; yule kijana aliyeposwa akalia, pasiwe na mtu wa kumwokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mwanamume huyo alimshika kwa nguvu huyo msichana huko mbugani, na ingawa alipiga kelele kuomba msaada hapakuwa na mtu wa kumsaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga kelele, hapakuwa na mtu wa kumwokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga kelele, hapakuwa na mtu wa kumwokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwani alimkuta kondeni; yule binti aliyeposwa akalia, pasiwe na mtu wa kumwokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mwanamume huyo alimshika kwa nguvu huyo msichana huko mbugani, na ingawa alipiga kelele kuomba msaada hapakuwa na mtu wa kumsaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani alimkuta shambani, naye yule kijana wa kike aliyekwisha kuposwa alipolia, hakuwako aliyemwokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwani alimkuta kondeni; yule kijana aliyeposwa akalia, pasiwe na mtu wa kumwokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mwanaume huyo alimushika kwa nguvu huyo binti huko katika mbuga, na ingawa alipiga kelele kwa kuomba musaada hakukuwa mutu wa kumusaidia.