Deuteronomy 22:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwanamume akikutana na msichana ambaye hajachumbiwa, akamshika kwa nguvu, wakafumaniwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mume akimwona kijana aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye, wakaonekana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwanamume akikutana na msichana ambaye hajachumbiwa, akamshika kwa nguvu, wakafumaniwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mume akimwona binti aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye, wakaonekana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwanamume akikutana na msichana ambaye hajachumbiwa, akamshika kwa nguvu, wakafumaniwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu atakapoona mwanamwali asiyeposwa bado, akamshika na kulala naye, basi, wakionwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mume akimwona kijana aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye, wakaonekana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mwanaume akikutana na binti ambaye hajachumbiwa, akimushika kwa nguvu, wakikamatwa,